Waamuzi 13:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kwa hiyo Manoa akasimama, akafuatana na mke wake, akamjia yule mtu na kumwambia: “Je, wewe ndiye yule mtu aliyesema na huyu mwanamke?”+ naye akajibu: “Ni mimi.”
11 Kwa hiyo Manoa akasimama, akafuatana na mke wake, akamjia yule mtu na kumwambia: “Je, wewe ndiye yule mtu aliyesema na huyu mwanamke?”+ naye akajibu: “Ni mimi.”