-
Ezekieli 41:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Upana wa ukuta uliokuwa wa chumba cha kando, upande wa nje, ulikuwa mikono mitano. Na kulikuwa na nafasi iliyoachwa wazi kwa ujenzi wa vyumba vya kando vilivyokuwa vya nyumba hiyo.
-