-
Luka 7:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Kwa maana mimi pia ni mtu aliyewekwa chini ya mamlaka, nikiwa na askari-jeshi chini yangu, nami humwambia huyu, ‘Shika njia yako uende!’ naye hushika njia yake na kwenda, na kwa mwingine, ‘Njoo!’ naye huja, na kwa mtumwa wangu, ‘Fanya hili!’ naye hulifanya.”
-