-
Ufunuo 3:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Tazama! Mimi nimesimama mlangoni na kubisha. Ikiwa yeyote asikia sauti yangu na kuufungua mlango, hakika mimi nitakuja ndani ya nyumba yake na kula mlo wa jioni pamoja naye na yeye pamoja nami.
-