-
Mwe na Imani Kama ya Abrahamu!Mnara wa Mlinzi—2001 | Agosti 15
-
-
Kwa njia fulani ambayo haikufichuliwa, Farao alijulishwa kilichosababisha “mapigo” hayo. Alichukua hatua mara moja: “Ndipo Farao akamwita Abramu, akasema, N’nini hili ulilonitenda? Mbona hukuniambia ya kuwa huyo ni mkeo?
-