Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yakobo Alithamini Mambo ya Kiroho
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Oktoba 15
    • Alikuwa Tofauti Sana na Ndugu Yake

      Yakobo aligombana na ndugu yake hasa kwa sababu yeye alithamini mambo ya kiroho, lakini Esau aliyadharau. Yakobo alipendezwa na ahadi ya agano iliyotolewa kwa Abrahamu naye alijitoa kutunza familia ambayo Mungu alikusudia irithi ahadi hizo. Kwa hiyo Yehova “alimpenda.” Yakobo alikuwa mtu “asiye na lawama” maneno yanayomaanisha ubora wa kiadili.

  • Yakobo Alithamini Mambo ya Kiroho
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Oktoba 15
    • Mwanzo 25:27

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki