Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Nayajua Vizuri Maumivu Waliyo Nayo”
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 1
    • Akitumia malaika, Yehova alizungumza na Musa kutoka katikati ya moto: “Usikaribie hapa. Vua viatu vyako kutoka miguuni, kwa sababu mahali ambapo umesimama ni udongo mtakatifu.” (Mstari wa 5) Fikiria hilo, kwa kuwa mti huo wa miiba uliwakilisha kuwapo kwa Mungu, mahali hapo pakawa patakatifu!

  • “Nayajua Vizuri Maumivu Waliyo Nayo”
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Machi 1
    • Mwanamke mmoja Mkristo ambaye amekabiliana na mshuko wa moyo na kuvunjika moyo alifarijiwa na simulizi la Musa kwenye mti wa miiba. Anasema: “Ikiwa Yehova anaweza kufanya ardhi iwe takatifu, basi huenda nina tumaini. Wazo hilo limenisaidia sana.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki