Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • “Ikawa kwamba walipokuwa barabarani, mahali pa kulala, Yehova akakutana naye, naye akawa akitafuta njia ya kumuua.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • Kutoka 4:20, 24

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Machi 15
    • Simulizi hilo halitaji waziwazi ni maisha ya nani yaliyokuwa hatarini. Hata hivyo, ni jambo linalopatana na akili kukata kauli kwamba si maisha ya Musa yaliyokuwa hatarini, kwa kuwa alikuwa tu amepokea mgawo kutoka kwa Mungu wa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri. (Kutoka 3:10) Haielekei kwamba malaika wa Mungu angehatarisha maisha ya Musa akiwa njiani kwenda kutimiza mgawo huo. Kwa hiyo, ni maisha ya mmoja wa watoto wake yaliyokuwa hatarini. Sheria iliyotolewa mapema kwa Abrahamu kuhusu tohara ilisema: “Mwanamume ambaye hajatahiriwa, ambaye hatatahiri nyama ya govi lake, nafsi hiyo lazima ikatiliwe mbali kutoka kwa watu wake. Yeye amevunja agano langu.” (Mwanzo 17:14) Inaonekana Musa alikuwa amepuuza kumtahiri mwana wake, na hivyo malaika wa Yehova akatisha kumuua mvulana huyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki