Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ziara Iliyothawabishwa Sana
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
    • Kwa vyovyote vile, malkia huyo aliwasili Yerusalemu “na wafuasi wengi sana, na ngamia wachukuao manukato, na dhahabu nyingi sana, na vito vya thamani.” (1 Wafalme 10:2a) Watu fulani husema kuwa hao “wafuasi wengi sana” walikuwa ni pamoja na kikosi chenye silaha. Hilo laeleweka, ukikumbuka kwamba malkia huyo alikuwa mheshimiwa mwenye nguvu, akisafiri na mali zenye thamani kubwa sana.b

  • Ziara Iliyothawabishwa Sana
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
    • b Kulingana na Strabo, mwanajiografia wa kale Mgiriki, watu wa Sheba walikuwa na mali nyingi mno. Yeye asema kwamba walitumia dhahabu kwa wingi katika fanicha zao, vyombo, na hata katika kuta, milango, na paa za nyumba zao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki