-
Ziara Iliyothawabishwa SanaMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
-
-
Naye Solomoni akamtunukia zawadi, akampa malkia “haja yake yote, kila alilotaka.”c—1 Wafalme 10:6-13.
-
-
Ziara Iliyothawabishwa SanaMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
-
-
c Watu fulani husema kwamba fungu hilo lamaanisha kuwa malkia alifanya ngono na Solomoni. Ngano zasema kwamba hata walipata mwana. Hata hivyo, hakuna uthibitisho unaounga mkono lolote la madai hayo.
-