Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 9. Kwa nini usiku unaweza kuogopesha sana, lakini kwa nini sisi hatuogopi?

      9 Mtunga-zaburi asema hivi kuhusu ulinzi wa Mungu: “Hutaogopa hofu ya usiku, wala mshale urukao mchana,

  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 91:5,

  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Kwa kuwa mambo mengi maovu hufanywa gizani, usiku unaweza kuogopesha sana. Katikati ya giza la kiroho linalofunika dunia sasa, mara nyingi adui zetu hutumia mbinu za ujanja wakijaribu kuharibu hali yetu ya kiroho na kuzuia kazi yetu ya kuhubiri. Lakini ‘hatuogopi hofu ya usiku’ kwa sababu Yehova hutulinda.—Zaburi 64:1, 2; 121:4; Isaya 60:2.

      10. (a) Yaonekana “mshale urukao mchana” unamaanisha nini, nasi hutendaje kuuhusu? (b) “Tauni ipitayo gizani,” ni nini, na kwa nini hatuigopi?

      10 Yaonekana “mshale urukao mchana” unamaanisha kusemwa vibaya. (Zaburi 64:3-5; 94:20) Sisi hushinda upinzani huo wa moja kwa moja dhidi ya utumishi wetu mtakatifu tunapoendelea kusema yaliyo kweli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki