Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • 12. Maelfu ‘huanguka’ ubavuni mwa nani, na kwa njia gani?

      12 Mtunga-zaburi anaendelea kusema: “Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe.

  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Zaburi 91:7,

  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
    • Kwa sababu wamekosa kumfanya Yehova kuwa kimbilio lao, wengi ‘huanguka’ na kufa kiroho ‘ubavuni mwetu.’ Kwa kweli, watu “kumi elfu” wameanguka ‘mkono wa kuume’ wa Waisraeli wa kiroho wa leo. (Wagalatia 6:16)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki