-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
20. Yehova anamwahidi nini mtumishi wake mwaminifu kwenye umalizio wa Zaburi ya 91?
20 Kwenye umalizio wa Zaburi ya 91 Yehova anasema hivi kuhusu mtumishi wake mwaminifu: “Ataniita nami nitamwitikia; nitakuwa pamoja naye taabuni, nitamwokoa na kumtukuza;
-
-
Yehova Ni Kimbilio LetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Tunaposali kwa Mungu kulingana na mapenzi yake, yeye hutujibu. (1 Yohana 5:13-15) Tayari tumepata taabu nyingi kwa sababu ya uadui unaochochewa na Shetani. Lakini maneno “nitakuwa pamoja naye taabuni” hututayarisha kwa ajili ya majaribu ya baadaye na hutuhakikishia kwamba Mungu atatutegemeza wakati mfumo huu mwovu utakapoharibiwa.
-