-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
6, 7. (a) Ni ahadi zipi tukufu anazofumbua Yohana, na ni akina nani watakaofurahia baraka hizo? (b) Isaya anaelezaje habari ya paradiso ambayo ni ya kiroho na kimwili pia?
6 Yohana aendelea kusema: “Na yeye atapangusa kabisa kila chozi kutoka macho yao, na kifo hakitakuwapo tena, wala hakutakuwapo kuomboleza wala kuguta wala umivu tena. Vitu vya kwanza vimepitilia mbali.” (Ufunuo 21:4, NW) Kwa mara nyingine tena, tunakumbushwa juu ya ahadi zilizovuviwa za mapema zaidi.
-
-
Mbingu Mpya na Dunia MpyaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Wakati huo, pia, “watajenga nyumba, na kukaa ndani yake; watapanda mizabibu, na kula matunda yake. Hawatajenga, akakaa mtu mwingine ndani yake; hawatapanda, akala mtu mwingine; maana kama siku za mti ndivyo zitakavyokuwa siku za watu wangu, na wateule wangu wataifurahia kazi ya mikono yao muda wa siku nyingi.” (Isaya 65:21, 22) Kwa hiyo hawatang’olewa mizizi kutoka dunia.
-