-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Tamko la mithali laonyesha nasaba ya wafalme ya Babiloni yenye kiburi, ikisema: “Nitapanda mpaka mbinguni, nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, katika pande za mwisho za kaskazini.
-
-
Yehova Anyenyekeza Jiji Lenye KujigambaUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Je, kuna utovu mkubwa kushinda huo?
24 Katika Biblia, wafalme wa nasaba ya Daudi hufananishwa na nyota. (Hesabu 24:17) Kuanzia kwa Daudi na kuendelea, “nyota” hizo zilitawala huko Mlima Sayuni. Baada ya Solomoni kujenga hekalu katika Yerusalemu, jina Sayuni likaja kumaanisha jiji lote. Chini ya agano la Sheria, ilikuwa lazima kwa wanaume wote Waisraeli kusafiri hadi Sayuni mara tatu kwa mwaka. Basi, jiji hilo likawa “mlima wa mkutano.” Kwa kuazimia kushinda wafalme wa Yuda na kuwaondoa katika mlima huo, Nebukadreza atangaza lengo lake la kujiinua juu ya “nyota” hizo.
-