Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 19. Yerusalemu litakuwaje “meko ya madhabahu,” na jambo hilo latukia lini, na jinsi gani?

      19 Ingawa hivyo, Yehova sasa asema juu ya nini? “Ole wa Arieli, Arieli, mji ambao Daudi alifanya kituo chake ndani yake; ongezeni mwaka baada ya mwaka; sikukuu na zirudi wakati wake,

  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 29:1,

  • Isaya Atabiri ‘Tendo la Ajabu’ la Yehova
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Huenda neno “Arieli” lamaanisha “Meko ya Madhabahu ya Mungu,” na yaonekana hapa neno hilo larejezea Yerusalemu. Huko ndiko liliko hekalu na madhabahu yake ya dhabibu. Wayahudi wana desturi ya kufanyia misherehekeo na kutolea dhabihu hapo, lakini Yehova haifurahii ibada yao. (Hosea 6:6)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki