-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Moyo wako utatafakari hofu ile; Yuko wapi yeye aliyehesabu? yuko wapi yeye aliyeupima ushuru? yuko wapi yeye aliyeihesabu minara?
-
-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wenye kuokoka shambulizi la Ashuru watauliza hivi kwa furaha: “Wako wapi maofisa wa mtawala wa mabavu, waliotutoza kodi, kutushtaki, kuchukua ushuru wetu?”—Isaya 33:18, Moffatt.
-
-
“Hakuna Mkaaji Atakayesema, Mimi Mgonjwa”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Tokeo ni kwamba wamekombolewa kutokana na uonevu na udhibiti wa mfumo mwovu wa Shetani. Wakiwa chini ya Sayuni, makao makuu ya Ufalme wa Mungu, wanafurahia usalama wa kweli wa kiroho.
-