-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
15, 16. (a) Adui za Israeli watapatwa na nini, na Israeli anafanana na mdudu kwa njia zipi? (b) Maneno ya Yehova yanatia moyo hasa leo kwa sababu ya shambulio gani linalokaribia?
15 Fikiria yale ambayo Yehova anasema sasa kupitia Isaya: “Tazama, wote walioona hasira juu yako watatahayarika [“wataona aibu,” “NW”] na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia.
-
-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
16 Adui za Israeli hawatashinda. Wale wanaoona hasira juu ya Israeli wataona aibu. Wale wanaopigana juu yake wataangamia.
-