-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
27, 28. Ni kweli gani muhimu inayokaziwa katika mistari ya kumalizia ya Isaya 41, na ni nani tu wanaoitangaza?
27 Baada ya kueleza maneno hayo ya unabii wa Yehova wenye kuchochea, Isaya anakazia ukweli mmoja muhimu: “Mimi kwanza nitauambia Sayuni, Tazama; hawa ndio; nami nitampa Yerusalemu mletaji wa habari njema.
-
-
Wenye Kufariji UnaokuhusuUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
28 Yehova ndiye namba moja. Yeye ndiye mkuu zaidi! Ndiye Mungu wa kweli, anayetangaza kukombolewa kwa watu wake, akiwaletea habari njema.
-