-
“Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” (Isaya 42:8, 9)
-
-
“Mteule Wangu, Ambaye Nafsi Yangu Imependezwa Naye”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Ilikuwa lazima utimie, na ulitimia. Kweli Yehova Mungu ndiye Mwanzilishi wa mambo mapya, naye hufanya watu wake wayajue kabla hayajatukia. Sisi tunapaswa kuitikiaje?
-