-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
2 Mfano wa Isaya waanza hivi: “Na nimwimbie mpenzi wangu wimbo wa mpenzi wangu katika habari za shamba lake la mizabibu. Mpenzi wangu alikuwa na shamba la mizabibu, kilimani penye kuzaa sana;
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Utunzaji wa Shamba la Mizabibu
3, 4. Shamba la mizabibu lapewa utunzaji gani wenye upendo?
3 Iwapo Isaya awaimbia kihalisi wasikilizaji wake mfano huo au la, huo kwa hakika wavuta fikira zao. Labda wengi wao wanafahamu kazi ya kupanda shamba la mizabibu, na ufafanuzi wa Isaya ni dhahiri na halisi. Sawa na wakuzao mizabibu leo, mmilikaji wa shamba la mizabibu apanda, si mbegu za zabibu, bali mzabibu “ulio mzuri [‘uliochaguliwa,’ BHN],” au “mzabibu mwekundu,” (NW) ulio bora—kitawi au mche kutoka kwa mzabibu mwingine. Kwa kufaa, yeye apanda mizabibu “kilimani penye kuzaa sana,” mahali ambapo shamba la mizabibu litasitawi.
-