-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Akiwa Muumba na Mkombozi wa Israeli, Yehova atawarudisha watu wake kwenye nchi yao wakiwa salama. Vizuizi kama maji mengi, mito yenye kufurika, na majangwa yenye moto, havitapunguza mwendo wao kama vile babu zao wa zamani hawakuzuiwa na vitu kama hivyo wakiwa njiani kwenda Nchi ya Ahadi miaka elfu moja mapema.
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Wakiisha kujitokeza watembee kwa ujasiri mbele ya “maji mengi,” yaani wanadamu, wamefurahia ulinzi wa Mungu wenye upendo wakapita gharika za mfano. Moto kutoka kwa adui zao haujawaumiza, bali umesaidia kuwatakasa. (Zekaria 13:9; Ufunuo 12:15-17) Ulinzi wa Yehova umeufikia pia “umati mkubwa” wa “kondoo wengine,” ambao wamejiunga na taifa la kiroho la Mungu. (Ufunuo 7:9; Yohana 10:16) Hawa walifananishwa kimbele na “kundi kubwa la watu waliochangamana mno,” walioondoka Misri pamoja na Waisraeli katika lile tukio la Kutoka; na pia walifananishwa kimbele na watu wasio Wayahudi waliorudi kutoka Babiloni pamoja na wahamishwa waliowekwa huru.—Kutoka 12:38; Ezra 2:1, 43, 55, 58.
-