Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 8. Yehova anawapa wahamishwa uhakikisho gani, nao watahisi namna gani kuhusu ukombozi wao?

      8 Akiwapa wahamishwa hao uhakikisho zaidi, Yehova anaongezea hivi: “Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi;

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Isaya 43:5

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata miisho ya dunia haitakuwa mbali mno kwa Yehova wakati wake ufikapo wa kuwaweka huru wana wake na binti zake, na kuwarudisha kwenye nchi yao kipenzi. (Yeremia 30:10, 11) Bila shaka, wao wanaona kwamba ukombozi huu wa sasa utaupita kwa mbali ule ukombozi wa mapema wa taifa hilo kutoka Misri.—Yeremia 16:14, 15.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki