-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.” (Isaya 43:5-7)
-
-
“Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
9. Yehova anahusianisha matendo yake ya ukombozi na jina lake kwa njia zipi mbili?
9 Kwa kuwakumbusha Israeli kwamba wanaitwa kwa jina lake, Yehova anahakikisha ahadi yake ya kuwakomboa. (Isaya 54:5, 6) Isitoshe, Yehova anahusianisha jina lake na ahadi zake za ukombozi. Kwa kufanya hivyo, anahakikisha kwamba ndiye atakayepokea utukufu neno lake litakapotimizwa. Hata mwenye kuishinda Babiloni hatastahili heshima iliyo haki ya Mungu mmoja tu aliye hai.
-