Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hukuninunulia manukato [“kikonyo kitamu,” “NW”] kwa fedha, wala hukunishibisha kwa mafuta ya sadaka zako; bali umenitumikisha kwa dhambi zako, umenichosha kwa maovu yako.”—Isaya 43:22-24.

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu”!
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Ndivyo na “kikonyo,” kishina chenye manukato, kimojawapo cha vichanganyo vya kutayarisha mafuta matakatifu ya kupaka watu. Waisraeli wamekuwa wakipuuza vitu hivyo kwa kutovitumia katika utumishi wa hekalu. Lakini je, matakwa hayo ni mzigo wa kulemea? Sivyo kamwe! Matakwa ya Yehova ni mepesi kwa kulinganishwa na ya miungu ya uwongo. Kwa mfano, yule mungu wa uwongo Moleki alidai watoto watolewe dhabihu kwake—jambo ambalo Yehova hajawahi kulitaka kamwe!—Kumbukumbu la Torati 30:11; Mika 6:3, 4, 8.

      22 Laiti Waisraeli wangekuwa na utambuzi wa kiroho, kwani ‘hawangechoshwa na Yehova’ kamwe. Kwa kuichunguza Sheria yake, wangeona kwamba anawapenda sana kisha wamtolee “mafuta,” yaani sehemu bora zaidi ya dhabihu zao. Badala ya hivyo, wanajiwekea kwa pupa mafuta hayo. (Mambo ya Walawi 3:9-11, 16) Kweli taifa hilo ovu linamsumbua Yehova kwa mzigo wa dhambi zao—ni kama kumlazimisha yeye awatumikie!—Nehemia 9:28-30.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki