-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
BWANA wa majeshi asema katika masikio yangu, Hakika majumba mengi yatakuwa ukiwa, naam, majumba makubwa, mazuri, yatakuwa hayana watu. Kwa maana shamba la mizabibu la eka kumi litatoa bathi moja tu, na homeri ya mbegu itatoa efa tu.”—Isaya 5:8-10.
-
-
Ole kwa Shamba la Mizabibu Lisilo na Uaminifu!Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
19 Yehova aahidi kuwanyang’anya watu hao wenye pupa mali waliyoipata kwa ufisadi. Nyumba wanazonyakua ‘hazitakuwa na watu.’ Mashamba wanayotamani yatazaa tu sehemu ndogo sana ya uwezo wake. Wakati na namna barabara ya kutimizwa kwa laana hiyo haukutaarifiwa. Yamkini yarejezea, angalau kwa sehemu, zile hali zinazosababishwa na uhamisho wa baadaye huko Babiloni.—Isaya 27:10.
-