Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Wakati wa Nia Njema”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata watu mashuhuri na wenye uweza mwingi kutoka mataifa mengine, kama vile “wafalme” na “mabinti-wafalme,” wanawasaidia Waisraeli katika safari yao ya kurudi huko. (Isaya 49:23a, “NW”) Wafalme Waajemi, Koreshi na Artashasta Longimano, pamoja na watu wa nyumba zao wanakuwa miongoni mwa wasaidizi hao. (Ezra 5:13; 7:11-26) Halafu maneno ya Isaya yanatumika kwa njia nyingine tena.

  • “Wakati wa Nia Njema”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Katika wakati ufaao, kabila zote za dunia—hata jamii za watawala wa leo—zitalazimika kuuinamia utawala wa Mesiya. (Zaburi 2:10, 11; Danieli 2:44) Matokeo yatakuwa nini? Yehova anasema hivi: “Nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.”—Isaya 49:23b.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki