-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
8. Ni nini kinachoonyesha kwamba Yuda ana kasoro katika kuwaza kwake?
8 Wakaaji fulani wa Yuda wanaweza kufanya fujo ili wajilinde, lakini hawatafanikiwa. Kutumia mabavu hakuwezi kuwa bora kuliko kumtumainia Yehova na kufanya matendo ya uadilifu; ni kama vile tando za buibui zisivyoweza kuwa bora kuliko vazi la kujilinda na hali mbaya ya hewa. Isaya anatangaza hivi: “Nyavu zao hazitakuwa mavazi, wala hawatajifunika kwa kazi zao; kazi zao ni kazi za uovu, na vitendo vya udhalimu vimo mikononi mwao.
-
-
Mkono wa Yehova Haujawa MfupiUnabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Yuda ana kasoro katika kuwaza kwake. Kwa kufanya fujo eti ajaribu kutatua matatizo yake, anaonyesha mwelekeo wa kutomwogopa Mungu.
-