-
Biblia—Kitabu cha Unabii Sahihi, Sehemu ya 2Amkeni!—2012 | Juni
-
-
tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake
-
-
Biblia—Kitabu cha Unabii Sahihi, Sehemu ya 2Amkeni!—2012 | Juni
-
-
Utimizo: Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7)
-
-
Biblia—Kitabu cha Unabii Sahihi, Sehemu ya 2Amkeni!—2012 | Juni
-
-
Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
-