-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
na kufanya wanadamu kuwa kama samaki wa baharini, kama vitu vitambaavyo, ambavyo havina mtawala?
-
-
Waovu Wataendelea Hata Lini?Mnara wa Mlinzi—2000 | Februari 1
-
-
Wakaldayo hao wakatili si waabudu wa Yehova. Wao huwaona wanadamu kama ‘samaki na vitu vitambaavyo’ tu vinavyostahili kukamatwa na kutiishwa. Lakini mambo hayo hayatamshangaza Habakuki kwa muda mrefu. Hivi karibuni Yehova atamfunulia nabii wake kwamba Wababiloni hawatakosa kuadhibiwa kwa sababu ya utekaji-nyara wao wenye pupa na hatia yao ya kumwaga damu ovyoovyo.—Habakuki 2:8.
-