Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Penda Kweli na Amani’!
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • “Tuombe Fadhili za BWANA”

  • ‘Penda Kweli na Amani’!
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • wenyeji wa mji huu watauendea mji huu, wakisema, Haya! twendeni zetu kwa haraka tuombe fadhili za BWANA, na kumtafuta BWANA wa majeshi; Mimi nami nitakwenda.

  • ‘Penda Kweli na Amani’!
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Januari 1
    • —Zekaria 8:20-22.

      17 Watu waliohudhuria Ukumbusho walitaka ‘kumtafuta Yehova wa majeshi.’ Wengi wao walikuwa watumishi wake waliojiweka wakfu na kubatizwa. Mamilioni ya wengine waliohudhuria hawakuwa wamefikia hatua hiyo. Katika nchi fulani hudhurio la Ukumbusho lilikuwa mara nne au tano kuliko idadi ya wahubiri wa Ufalme. Wengi hawa wanaopendezwa wahitaji msaada wa kuendelea kufanya maendeleo. Na tuwafundishe kuchachawa katika ujuzi wa kwamba Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu na sasa anatawala katika Ufalme wa Mungu. (1 Wakorintho 5:7, 8; Ufunuo 11:15) Na tuwatie moyo wajiweke wakfu kwa Yehova Mungu na kunyenyekea Mfalme wake aliyewekwa rasmi. Kwa njia hiyo wao ‘wataomba fadhili za BWANA.’—Zaburi 116:18, 19; Wafilipi 2:12, 13.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki