Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Dhihirisha Mtazamo wa Akili wa Kristo
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Septemba 1
    • Katika mistari michache ya kwanza ya sura hiyo, Paulo arejezea sifa muhimu ya Yesu asemapo hivi: “Ingawa hivyo, sisi tulio na nguvu twapaswa kuchukua udhaifu wa wale wasio na nguvu, na si kuwa tukijipendeza wenyewe.

  • Dhihirisha Mtazamo wa Akili wa Kristo
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Septemba 1
    • —Waroma 15:1-3.

      5 Kwa kuiga mtazamo wa Yesu, Wakristo watiwa moyo wawe tayari kuwahudumia wengine kwa unyenyekevu badala ya kutaka kujipendeza wenyewe tu. Kwa kweli, utayari huo wa unyenyekevu wa kuwatumikia wengine ni sifa ya wale ‘walio na nguvu.’ Yesu, aliyekuwa na nguvu kiroho kuliko mwanadamu yeyote aliyepata kuishi, alisema kujihusu: ‘Mwana wa binadamu alikuja, si kuhudumiwa, bali kuhudumu na kutoa nafsi yake kuwa fidia katika kubadilishana kwa ajili ya wengi.’ (Mathayo 20:28) Tukiwa Wakristo, sisi pia twataka kujitahidi kuwatumikia wengine, wakiwemo “wale wasio na nguvu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki