Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jihadharini na Walimu Wasio wa Kweli!
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Septemba 1
    • 11 Kisha, Petro arejezea watu wa siku za Noa. (Mwanzo 7:17-24) Asema kwamba katika wakati wa Noa, Mungu “hakuacha kuadhibu ulimwengu wa kale . . . alipoleta gharika juu ya ulimwengu wa watu wasioogopa Mungu.”

  • Jihadharini na Walimu Wasio wa Kweli!
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Septemba 1
    • 12. Kulingana na Petro, mwenendo wa uadilifu huthawabishwaje?

      12 Hata hivyo, wakati huohuo, Petro aandika kwamba Yehova ni mthawabishaji wa wale wanaomtumikia yeye kwa uaminifu. Kwa kielelezo, asimulia jinsi ambavyo Mungu “alitunza salama Noa, mhubiri wa uadilifu, pamoja na wengine saba” Alipoleta Gharika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki