Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Anataka Nini Kutoka Kwetu?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Oktoba 1
    • Yehova Anataka Nini Kutoka Kwetu?

      Kumbukumbu la Torati 10:12, 13

  • Yehova Anataka Nini Kutoka Kwetu?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Oktoba 1
    • Kutii kwa hiari kutatuletea baraka. Musa aliandika hivi: “Kuzishika amri . . . ninazokuamuru wewe leo, [ni] kwa faida yako.” (Mstari wa 13) Naam, kila amri ya Yehova, kila kitu anachotaka tufanye, ni kwa faida yetu. Mbona isiwe hivyo? “Mungu ni upendo,” inasema Biblia. (1 Yohana 4:8) Kwa hiyo, ametupa amri ambazo zitatuletea faida za kudumu. (Isaya 48:17) Kufanya yale ambayo Yehova anataka kutoka kwetu kutatuzuia tusikatishwe tamaa sasa na kutatuletea baraka za milele chini ya Ufalme wake.c

  • Yehova Anataka Nini Kutoka Kwetu?
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Oktoba 1
    • a Ingawa maneno ya Musa yaliwahusu Waisraeli wa kale, yanawahusu pia watu wote wanaotaka kumpendeza Mungu leo.—Waroma 15:4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki