-
Ziara Iliyothawabishwa SanaMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
-
-
Kwa vyovyote vile, malkia huyo aliwasili Yerusalemu “na wafuasi wengi sana, na ngamia wachukuao manukato, na dhahabu nyingi sana, na vito vya thamani.” (1 Wafalme 10:2a) Watu fulani husema kuwa hao “wafuasi wengi sana” walikuwa ni pamoja na kikosi chenye silaha. Hilo laeleweka, ukikumbuka kwamba malkia huyo alikuwa mheshimiwa mwenye nguvu, akisafiri na mali zenye thamani kubwa sana.b
-
-
Ziara Iliyothawabishwa SanaMnara wa Mlinzi—1999 | Julai 1
-
-
b Kulingana na Strabo, mwanajiografia wa kale Mgiriki, watu wa Sheba walikuwa na mali nyingi mno. Yeye asema kwamba walitumia dhahabu kwa wingi katika fanicha zao, vyombo, na hata katika kuta, milango, na paa za nyumba zao.
-