Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
    • Soma sura 9 na 10. Uhai ni wenye thamani kubwa, na Mungu anatutaka sisi tuufurahie (9:4, 7). Kwa kuwa sisi hatuna uongozi juu ya matokeo ya maisha (9:11, 12), ni vizuri zaidi kutii hekima ya kimungu, ingawa watu walio wengi hawaithamini (9:17). Kwa sababu ya mashaka-mashaka ya maisha, inatupasa tulinde moyo wetu (10:2) tujizoeze tahadhari katika yote tunayofanya, na kutenda kwa hekima yenye mafaa.​—10:8-10.

  • “Mwogope Mungu wa Kweli na Kushika Amri Zake”
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Septemba 15
    • Somo kwetu sisi: Kwa kuwa kifo cha ghafula kinaweza kuangukia ye yote kati yetu (9:12), inatupasa tuwe tukitumia maisha yetu katika utumishi wa Yehova ikiwa kifo chetu kitatukia kisimamishe kila kitu (9:10). Tunahitaji pia kuwa wenye ujuzi mwingi katika utumishi wetu kwa sababu kutoweza kazi, hata katika mambo yale mepesi kama kuchimba shimo au kupasua miti, kunaweza kutudhuru sisi wenyewe na wengine.—10:8, 9.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki