-
Kufanya Hesabu Juu ya Matumizi ya Hazina za KristoUsalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
-
-
4. Bwana-mkubwa aliwaambiaje wale watumwa walioongeza hesabu ya zile talanta?
4 “Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao. Akaja yule aliyepokea talanta tano, akaleta talanta nyingine tano, akisema, Bwana, uliweka kwangu talanta tano; tazama, talanta nyingine tano nilizopata faida. Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na uaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako. Akaja na yule aliyepokea talanta mbili, akasema, Bwana, uliweka kwangu talanta mbili; tazama, talanta nyingine mbili nilizopata faida. Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na uaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
-
-
Kufanya Hesabu Juu ya Matumizi ya Hazina za KristoUsalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
-
-
6 “Basi, mnyang’anyeni talanta hiyo, mpeni yule aliye nazo talanta kumi. Kwa maana kila mwenye kitu atapewa, na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang’anywa. Na mtumwa yule asiyefaa, mtupeni mbali katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.”—Mathayo 25:13-30.
-