Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Apewa Mapokezi na Farisayo Mashuhuri
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Desemba 15
    • “Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akaalika watu wengi, akamtuma mtumwa wake saa ya chakula awaambie wale walioalikwa, Njoni, kwa kuwa vitu vyote vimekwisha kuwekwa tayari. Wakaanza wote kutoa udhuru kwa nia moja. Wa kwanza alimwambia, Nimenunua shamba, sharti niende nikalitazame; tafadhali unisamehe. Mwingine akasema, Nimenunua ng’ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe. Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hiyo siwezi kuja.”

  • Apewa Mapokezi na Farisayo Mashuhuri
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Desemba 15
    • Ni hali gani inayoelezwa na kielezi hicho? Basi, “bwana” mwenye kuandaa mlo ule anawakilisha Yehova Mungu; “mtumwa” mwenye kutoa mwaliko anawakilisha Yesu Kristo; na ile “karamu kubwa [ya jioni, NW]” inawakilisha fursa za kuwa katika mstari wa kupata Ufalme wa mbingu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki