-
Kwa Nini Tunahudhuria Ukumbusho?Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2022 | Januari
-
-
2 Kila mwaka, tunakuwa miongoni mwa mamilioni ya watu ulimwenguni pote wanaokusanyika ili kukumbuka kifo cha mtu tunayempenda sana—Yesu Kristo. (1 Pet. 1:8) Tunakusanyika kumkumbuka yule aliyetoa uhai wake uwe fidia ili kutukomboa kutokana na dhambi na kifo. (Mt. 20:28) Isitoshe, Yesu aliwaagiza wafuasi wake wakumbuke kifo chake. Usiku wa kabla ya kifo chake, alianzisha mlo wa pekee wa jioni na akaamuru hivi: “Endeleeni kufanya hivi kwa kunikumbuka.”b—Luka 22:19.
-
-
Kwa Nini Tunahudhuria Ukumbusho?Mnara wa Mlinzi (Funzo)—2022 | Januari
-
-
b Maneno haya yametafsiriwa “Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu” (Union Version).
-