Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuonea Shangwe Uhusiano wa Karibu
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Agosti 15
    • “Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima,” aanza. Mkulima Mkuu, Yehova Mungu, alipanda mzabibu huo wa mfano alipompaka mafuta Yesu kwa roho takatifu wakati wa ubatizo wake katika vuli ya 29 W.K. Lakini Yesu aendelea kuonyesha kwamba mzabibu huo wafananisha zaidi ya yeye tu, akionelea hivi:

      “Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa. . . . Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi.”

  • Kuonea Shangwe Uhusiano wa Karibu
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Agosti 15
    • Penye Pentekoste, siku 51 baadaye, mitume na wengine wawa matawi ya mzabibu huo wakati roho takatifu inapomwagwa juu yao. Hatimaye watu 144,000, wawa matawi ya mzabibu wa kitamathali. Pamoja na shina la mzabibu, Yesu Kristo, wao wajumlika kuwa mzabibu wa mfano unaozaa matunda ya Ufalme wa Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki