Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kushiriki Faraja Ambayo Yehova Huandaa
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 1
    • “Tumaini letu kwa ajili yenu ni imara, tukijua ya kuwa kama vile mlivyo washiriki wa yale mateso, vivyo hivyo mmekuwa washiriki wa zile faraja.”—2 WAKORINTHO 1:7.

  • Kushiriki Faraja Ambayo Yehova Huandaa
    Mnara wa Mlinzi—1996 | Novemba 1
    • 4. Wale ambao wameanza kupendezwa karibuni waweza kuitikia dhiki katika njia zipi tofauti?

      4 Kwa kuhuzunisha, sawa na alivyotabiri Yesu, dhiki huwafanya wengine wakwazwe na kuacha ushirika wao pamoja na kutaniko la Kikristo. (Mathayo 13:5, 6, 20, 21) Watu wengine huvumilia dhiki kwa kudumisha akili zao zikiwa zimekaziwa ahadi zenye kufariji ambazo wanajifunza. Hatimaye wanaweka maisha zao wakfu kwa Yehova na kubatizwa wakiwa wanafunzi wa Mwana wake, Yesu Kristo. (Mathayo 28:19, 20; Marko 8:34) Bila shaka, dhiki haiishi mara tu Mkristo abatizwapo. Kwa kielelezo, kudumisha usafi wa kiadili kwaweza kuwa shindano gumu kwa mtu ambaye amekuwa na mwenendo usio wa adili. Wengine lazima washindane na upinzani wenye kuendelea kutoka kwa washiriki wa familia wasioamini. Hata dhiki iwe ipi, wote ambao hufuatia kwa uaminifu maisha yaliyo wakfu kwa Mungu waweza kuwa na uhakika wa jambo moja. Kwa njia ya kibinafsi sana, watapata faraja na msaada wa Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki