Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Biblia Imebadilishwa au Kupotoshwa?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
      1. Kwenye 1 Yohana 5:7, Biblia fulani za zamani zina maneno yafuatayo: “mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu: na watatu hawa ni umoja.” Hata hivyo, hati zinazotegemeka zinathibitisha kwamba maneno hayo hayakuwepo katika maandishi ya awali. Yaliongezwa baadaye.a Hivyo, tafsiri za Biblia za kisasa zinazoaminika hazina maneno hayo.

  • Je, Biblia Imebadilishwa au Kupotoshwa?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • a Maneno hayo hayapatikani katika Kodeksi ya Sinai, Kodeksi ya Aleksandria, Hati Na. 1209 ya Vatikani, Vulgate ya Kilatini ya awali, Tafsiri ya Kisiria ya Philoxenia-Harclea, au Peshitta ya Kisiria.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki