-
Ulimwengu Mpya U Karibu!Mnara wa Mlinzi—1991 | Julai 15
-
-
“Kisha nikaona mbingu mpya na dunia mpya. Mbingu ile ya kwanza na dunia ile ya kwanza vilikuwa vimetoweka, nayo bahari pia haikuwako tena. Nikaona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni. Ulikuwa umetayarishwa vizuri kama bibi arusi aliyepambwa tayari kukutana na mumewe. Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka katika kiti cha enzi ikisema, ‘Tazama! Mungu amefanya makao yake kati ya watu. Atakaa kati yao, nao watakuwa watu wake, naye atakuwa Mungu wao. Yeye atayafuta machozi yao yote; maana hakutakuwako tena na kifo, wala uchungu, wala kilio, wala maumivu; maana ile hali ya kale imepita!’ Kisha yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi akasema, ‘Tazama, nafanya yote mapya.’ Tena akaniambia, ‘Andika hili, maana maneno haya ni ya kuaminika na ya kweli!’”—Ufunuo 21:1-5, HNWW.
-
-
Ulimwengu Mpya U Karibu!Mnara wa Mlinzi—1991 | Julai 15
-
-
Si wanadamu wanaokufa bali ni Mungu mwenyewe atoaye uhakikisho kuhusu mibaraka hiyo. Yeye ndiye asemaye hivi: “Tazama, nafanya yote mapya.” Naam, na Yehova Mungu alimwambia mtume Yohana hivi: “Andika hili, maana maneno haya ni ya kuaminika na ya kweli.”
-