Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 31
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Isaya—Yaliyomo

      • Msaada wa kweli unatoka kwa Mungu, hautoki kwa wanadamu (1-9)

        • Farasi wa Misri ni nyama tu (3)

Isaya 31:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “wapanda farasi.”

Marejeo

  • +Isa 30:2
  • +Kum 17:15, 16

Isaya 31:2

Marejeo

  • +Eze 29:6, 7

Isaya 31:3

Marejeo

  • +Zb 33:17; Met 21:31

Isaya 31:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “mwanasimba mwenye manyoya marefu shingoni.”

Isaya 31:5

Marejeo

  • +Kum 32:11, 12; Zb 91:4

Isaya 31:6

Marejeo

  • +Isa 55:7; Yoe 2:12

Isaya 31:8

Marejeo

  • +2Fa 19:35; 2Nya 32:21; Isa 37:36

Isaya 31:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “moto wake uko.”

Jumla

Isa. 31:1Isa 30:2
Isa. 31:1Kum 17:15, 16
Isa. 31:2Eze 29:6, 7
Isa. 31:3Zb 33:17; Met 21:31
Isa. 31:5Kum 32:11, 12; Zb 91:4
Isa. 31:6Isa 55:7; Yoe 2:12
Isa. 31:82Fa 19:35; 2Nya 32:21; Isa 37:36
  • Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Isaya 31:1-9

Isaya

31 Ole wao wanaoshuka kwenda Misri kutafuta msaada,+

Wanaotegemea farasi,+

Wanaotumaini magari ya vita kwa sababu ni mengi,

Na farasi wa vita* kwa sababu wana nguvu.

Lakini hawamtegemei Mtakatifu wa Israeli,

Na hawamtafuti Yehova.

 2 Lakini yeye pia ana hekima na ataleta msiba,

Naye hatayabatilisha maneno yake.

Atainuka dhidi ya nyumba ya watenda maovu

Na dhidi ya wale wanaowasaidia wakosaji.+

 3 Hata hivyo, Wamisri ni wanadamu tu, wao si Mungu;

Farasi wao ni nyama wala si roho.+

Yehova atakapounyoosha mkono wake,

Yeyote atakayetoa msaada atajikwaa

Na yeyote atakayesaidiwa ataanguka;

Wote wataangamia wakati mmoja.

 4 Kwa maana Yehova ameniambia hivi:

“Kama simba anavyonguruma, mwanasimba mwenye nguvu,* juu ya mawindo yake,

Kundi lote la wachungaji linapokusanywa kupigana naye,

Naye haogopi sauti yao

Au kutishwa na kelele zao,

Ndivyo Yehova wa majeshi atakavyoshuka ili kupigana vita

Juu ya Mlima Sayuni na juu ya kilima chake.

 5 Kama ndege wanaoshuka kwa ghafla, ndivyo Yehova wa majeshi atakavyolilinda Yerusalemu.+

Atalilinda na kuliokoa.

Atalihifadhi na kuliokoa.”

6 “Rudini kwa Yule ambaye mmemwasi bila aibu, enyi watu wa Israeli.+ 7 Kwa maana siku hiyo kila mmoja ataikataa miungu yake ya ubatili ya fedha na miungu yake ya dhahabu ambayo haina thamani, ambayo mikono yenu wenyewe ilitenda dhambi kwa kuitengeneza.

 8 Na Mwashuru atauawa kwa upanga, lakini si wa mwanadamu;+

Na upanga, usio wa mwanadamu, utamwangamiza.

Atakimbia kwa sababu ya upanga,

Na wanaume wake vijana watalazimishwa kufanya kazi za kulazimishwa.

 9 Jabali lake litapitilia mbali kwa sababu ya woga mwingi,

Na wakuu wake wataogopa kwa sababu ya nguzo ya ishara,” asema Yehova,

Ambaye nuru yake iko* Sayuni na ambaye tanuru lake liko Yerusalemu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki