Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 34:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Musa akaendelea kukaa huko pamoja na Yehova kwa siku 40, mchana na usiku. Hakula mkate wala kunywa maji.+ Naye Mungu aliandika kwenye yale mabamba, maneno ya agano hilo, zile Amri Kumi.*+

  • Kumbukumbu la Torati 9:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Nilipopanda mlimani ili kupokea yale mabamba ya mawe,+ mabamba ya agano ambalo Yehova alifanya pamoja nanyi,+ nilikaa mlimani siku 40 mchana na usiku,+ sikula chakula wala kunywa maji.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki