-
Kumbukumbu la Torati 15:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 “Ikiwa mmoja wa ndugu zenu atakuwa maskini miongoni mwenu katika mojawapo ya majiji yaliyo katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, msiifanye mioyo yenu iwe migumu au kumfumbia mkono ndugu yenu maskini.+
-
-
Zaburi 41:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
41 Mwenye furaha ni mtu yeyote anayemjali mtu wa hali ya chini;+
Yehova atamwokoa siku ya msiba.
-
-
1 Timotheo 6:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Waambie watende mema, wawe matajiri katika matendo mazuri, wawe wakarimu, tayari kushiriki vitu na wengine,+
-