Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 29:33
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 33 Akapata mimba tena na kuzaa mwana, kisha akasema: “Ni kwa sababu Yehova amesikiliza, kwa maana sikupendwa, kwa hiyo amenipa huyu pia.” Basi akampa jina Simeoni.*+

  • Mwanzo 46:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Wana wa Simeoni+ walikuwa Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Zohari, na Shauli+ mwana wa mwanamke Mkanaani.

  • Hesabu 2:12, 13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Kabila la Simeoni litapiga kambi kando yake; mkuu wa wana wa Simeoni ni Shelumieli+ mwana wa Zurishadai. 13 Wale walioandikishwa katika jeshi lake ni watu 59,300.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki