-
Hesabu 4:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Nao watachukua vyombo vyote+ wanavyotumia kwa ukawaida wanapohudumu mahali patakatifu na kuviweka ndani ya kitambaa cha bluu na kuvifunika kwa kifuniko cha ngozi ya sili, kisha wataviweka juu ya ufito wa kubebea.
-