-
Kutoka 12:49Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
49 Sheria ileile itafuatwa na mwenyeji na mgeni anayeishi miongoni mwenu.”+
-
-
Mambo ya Walawi 24:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “‘Sheria itakuwa moja kwenu, iwe ni mgeni au mwenyeji,+ kwa sababu mimi ni Yehova Mungu wenu.’”
-
-
Hesabu 15:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Ninyi pamoja na mgeni anayeishi miongoni mwenu mtafuata sheria zilezile. Itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyenu vyote. Ninyi pamoja na mgeni mtakuwa sawa mbele za Yehova.+
-