Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:9, 10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Fanya shughuli na kazi zako zote kwa siku sita,+ 10 lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako. Usifanye kazi yoyote, wewe wala mwana wako wala binti yako wala mtumwa wako wala kijakazi wako wala mnyama wako wa kufugwa wala mgeni aliye katika makazi* yako.+

  • Kutoka 35:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Mtafanya kazi kwa siku sita, lakini siku ya saba itakuwa takatifu kwenu, ni sabato ya pumziko kamili kwa Yehova.+ Mtu yeyote atakayefanya kazi siku hiyo atauawa.+

  • Kumbukumbu la Torati 5:13, 14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Fanya shughuli na kazi zako zote kwa siku sita,+ 14 lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako.+ Usifanye kazi yoyote,+ wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala kijakazi wako, wala ng’ombe dume wako, wala punda wako, wala mnyama yeyote unayemfuga, wala mgeni anayekaa katika majiji*+ yenu, ili mtumwa wako na kijakazi wako wapumzike kama wewe.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki